Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Marakwet Mashariki ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge mane katika Kaunti ya Elgeyo-Marakwet. Eneo bunge hili lina wadi kumi na moja, zote ambazo huchagua madiwqani katika Baraza la Mji wa Marakwet.
Eneo Bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka wa 1992 likijulikana kama eneo bunge la Kerio East , na kubadilishwa hadi muundo wake wa sasa kwenye uchaguzi wa 1997.
Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1992 | Fredrick K. Cheserek | KANU | |
1997 | John Kiptoo Marirmoi | KANU | |
2002 | Linah Jebii Kilimo | NARC | |
2007 | Linah Jebii Kilimo | KENDA |
' | |
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa |
---|---|
Embobut | 2,482 |
Embolot | 1,847 |
Endo | 2,981 |
Kaptich | 1,440 |
Kapyego | 2,433 |
Kipkaner | 1,688 |
Koibirir | 2,373 |
Mokoro | 1,755 |
Mon | 3,026 |
Murkutwo | 1,731 |
Sambirir | 3,301 |
Jumla | 25,057 |
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Marakwet Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |