Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Malindi ni mojawapo ya majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo saba katika Kaunti ya Kilifi, pwani mwa Kenya.
JImbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi wa 1963, ambaop ulikuwa uchaguzi wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya.
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Francis Bobi Tuva | KADU | |
1969 | Francis Bobi Tuva | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Francis Bobi Tuva | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Francis Bobi Tuva | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Francis Bobi Tuva | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Francis Bobi Tuva | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Abubakar Mohamed Badawy | KANU | |
1997 | Abubakar Mohamed Badawy | KANU | |
2002 | Lucas B. Mweni Maitha | NARC | |
2007 | Gideon Mung’aro | ODM |
Kata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Chakama | 6,586 |
Ganda | 16,161 |
Gede | 26,805 |
Goshi | 16,823 |
Jilore | 9,832 |
Langobaya | 14,513 |
Malindi | 102,411 |
Watamu | 21,034 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura waliojisajili |
Baraza la Utawala wa Mtaa |
---|---|---|
Barani | 7,199 | Munisipali ya Malindi |
Ganda / Mkaumoto | 4,970 | Munisipali ya Malindi |
Gede | 7,440 | Munisipali ya Malindi |
Kijiwetanga | 4,161 | Munisipali ya Malindi |
Madunguni | 3,194 | Munisipali ya Malindi |
Malimo | 1,398 | Munisipali ya Malindi |
Malindi Central | 6,927 | Munisipali ya Malindi |
Malindi North | 3,362 | Munisipali ya Malindi |
Malindi South | 10,162 | Munisipali ya Malindi |
Watamu | 6,741 | Munisipali ya Malindi |
Chakama | 1,626 | Malindi County |
Jilore | 2,865 | Malindi County |
Lango Mbaya | 3,809 | Malindi County |
Jumla | 63,854 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Malindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |