Eneo bunge la Makueni ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Kenya. Linapatikana katika kaunti ya Makueni iliyoko Mashariki mwa Kenya, miongoni mwa majimbo sita ya uchaguzi katika kaunti hiyo.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1966
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1966 | Julius Kyengo Ndile | KANU | |
1969 | Jackson Kasanga Mulwa | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Jackson Kasanga Mulwa | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Jackson Kasanga Mulwa | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Paul Mulwa Sumbi | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Stephen Kyonda | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Peter E. N. Maundu | KANU | |
1997 | Paul Mulwa Sumbi | SDP | Sumbi aliaga dunia mnamo 1998 |
1998 | Peter E. N. Maundu | KANU | Uchaguzi Mdogo |
2002 | Kivutha Kibwana | NARC | |
2007 | Peter Kiilu | ODM-Kenya |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Baraza la Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Kikumini | 2,726 | Wote (Mji) |
Muvau | 2,772 | Wote (Mji) |
Nziu | 4,803 | Wote (Mji) |
Wote | 5,596 | Wote (Mji) |
Kathonzweni | 13,422 | Makueni county |
Kithumba / kalamba | 5,806 | Makueni county |
Mavindini | 12,299 | Makueni county |
Mbitini | 11,281 | Makueni county |
Mulala / Emali | 8,324 | Makueni county |
Nguu | 8,356 | Makueni county |
Nzaui / Kilili | 6,346 | Makueni county |
Jumla | 81,731 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Makueni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |