Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Likoni ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Mombasa nchini Kenya, miongoni mwa maimbo manne ya kaunti hiyo. Lina wodi nne, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la munisipali ya Mombasa.
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1988. Mbunge wake wa kwanza alikuwa Abdulkadir Abdalla Mwidau.
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Abdulkadir Abdalla Mwidau | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Khalif Salim Mwavumo | Ford-Kenya | |
1997 | Rashid Suleiman Shakombo | Shirikisho | |
2002 | Rashid Suleiman Shakombo | NARC | |
2007 | Mwalimu Masudi Mwahima | ODM |
Kata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Ganjoni | 24,176 |
Likoni | 76,388 |
Mtongwe | 27,251 |
Shika Adabu | 18,437 |
Jumla | x |
*Hesabu 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura waliojisajili |
---|---|
Bofu | 16,147 |
Ganjoni | 14,805 |
Mtongwe | 9,640 |
Shika Adabu | 7,627 |
Jumla | 48,219 |
*Septemba 2005 [2].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Likoni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |