Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Kitui Magharibi ni mojawapo ya majimbo 290 ya Kenya. Jimbo hili ni miongoni mwa mjimbo nane ya kaunti ya Kitui, Mashariki mwa Kenya.
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa pili wa Kenya mnamo 1966.
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1966 | Parmenas Nzilu Munyasia | KANU | |
1969 | Parmenas Nzilu Munyasia | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Winnie Nyiva Mwendwa | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Parmenas Nzilu Munyasia | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Parmenas Nzilu Munyasia | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1984 | Kitili Mwendwa | KANU | Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja. Mwendwa aliaga dunia mnamo 1985 in katika ajali barabarani [2] |
1986 | Kyale Mwendwa | KANU | Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Kyale Mwendwa | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Winnie Nyiva Mwendwa | KANU | |
1997 | Francis Mwanzia Nyenze | KANU | |
2002 | Winnie Nyiva Mwendwa | NARC | |
2007 | Charles Mutisya Nyamai | NARC |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura waliojiandikisha | Utawala wa Mtaa |
---|---|---|
Kalimani / Matinyani / Mutulu | 8,215 | Munisipali ya Kitui |
Kithumula / Kauma | 5,245 | Munisipali ya Kitui |
Kanyangi / Kiseuni | 6,275 | Kitui county |
Katutu / Mutanda | 4,395 | Kitui county |
Kivani / Kauwi | 5,683 | Kitui county |
Kwa-Vonza | 2,446 | Kitui county |
Kwa Mutonga / Kathivo | 4,315 | Kitui county |
Musengo / Usiani | 5,832 | Kitui county |
Mutonguni / Kakeani | 8,672 | Kitui county |
Yatta / Nthongoni | 7,240 | Kitui county |
Jumla | 58,318 | |
*Septemba 2005 [3].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kitui Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |