Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Kinangop ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge matano katika Kaunti ya Nyandarua. Eneo bunge hili lina wadi tano, zote ambazo huwachagua madiwani katika Baraza la Mji wa Nyandarua. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Halifai kutatanishwa na Eneo Bunge la Kinango lililo katika Wilaya ya Kwale.
Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Josiah Munyua Kimemia | KANU | Mfumo wa Chama kimoia. |
1992 | Mary Wanjiru | Ford-Asili | |
1997 | Mwangi K.Waithaka | Ford-People | |
2002 | Mwangi K.Waithaka | NARC | |
2007 | David Mwaniki Ngugi | Sisi Kwa Sisi |
Wadi | |
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa |
---|---|
Engineer | 16,060 |
Magumu | 9,964 |
Njabini | 12,358 |
North Kinangop | 13,251 |
Nyakio | 12,199 |
Jumla | 63,832 |
Septemba 2005 | [2] |
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kinangop kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |