Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Gem ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo sita yapatikanayo katika Kaunti ya Siaya.
Jimbo hili ni moja kati ya majimbo ya Uchaguzi ya kwanza kuanzishwa nchini Kenya baada ya Uhuru. Lilianzishwa wakati wa uchaguzi wa 1963.
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | C.M.G. Argwings-Kodhek | KANU | |
1969 | Wasonga Sijeyo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja. Sijeyo alitiwa nguvuni kwa sababu za kisiasa, ikipelekea uchaguzi Mdogo mwaka huo,[2] |
1969 | Isaac Omolo Okero | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja, Uchaguzi Mdogo |
1974 | Isaac Omolo Okero | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Aggrey Otieno Ambala | KANU | Mfumo wa chama Kimoja |
1983 | Horace Owiti | KANU | Mfumo wa chama Kimoja |
1985 | Grace Ogot | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Grace Ogot | KANU | Mfumo wa chama Kimoja |
1992 | Oki Ooko Ombaka | Ford-K | |
1997 | Joe Donde | Ford-K | |
2002 | Washington Jakoyo Midiwo | NARC | |
2007 | Washington Jakoyo Midiwo | ODM |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Anyiko / Sauri | 2,361 | Yala (Mji) |
Central Gem | 7,109 | Siaya county |
East Gem | 4,891 | Siaya county |
Jina | 1,890 | Yala (Mji) |
Marenyo | 2,375 | Yala (Mji) |
North Gem | 8,463 | Siaya county |
Nyamninia | 4,173 | Yala (Mji) |
South Gem | 6,442 | Siaya county |
Wagai North | 8,381 | Siaya county |
Wagai South | 5,819 | Siaya county |
Jumla | 51,904 | |
*Septemba 2005 [3].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Gem kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |