Eneo bunge la Funyula ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Busia, miongoni mwa majimbo saba ya kaunti hiyo.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1997. Aliyekuwa Makamu wa Rais Moody Awori alikuwa akiliwakilisha jimbo hili. Kabla ya kuanzishwa kwa jimbo hili aliwahi kuwakilisha majimbo ya Uchaguzi ya Busia Kusini na Samia.[1].
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1997 | Moody Awori | KANU | |
2002 | Moody Awori | NARC | |
2007 | Paul Otuoma | ODM |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Bwiri | 5,552 | Busia county |
Funyula North | 9,056 | Busia county |
Funyula South | 9,207 | Busia county |
Namboboto | 3,381 | Funyula (Mji) |
Nangina | 2,220 | Funyula (Mji) |
Odiado | 1,044 | Funyula (Mji) |
Wakhungu | 1,493 | Funyula (Mji) |
Jumla | 31,953 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Funyula kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |