Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Changamwe ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Mombasa, likiwa miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo. Jimbo hili lina wodi nane na zote huchagua madiwani kwa baraza la munisipali ya Mombasa.
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi wa 1969.
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1969 | David M. Kioko | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Ferdinard Mwaro | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | David M. Kioko | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Joseph Kennedy Kiliku | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Joseph Kennedy Kiliku | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Joseph Kennedy Kiliku | KANU | |
1997 | Ramadhan Seif Kajembe | KANU | |
2002 | Ramadhan Seif Kajembe | NARC | |
2007 | Ramadhan Seif Kajembe | ODM |
Kata | |
Kata | Wapiga Kura waliojiandikisha |
---|---|
Changamwe | 15,887 |
Jomvu Kuu | 8,457 |
Kipevu | 11,920 |
Mikindani | 11,718 |
Miritini | 7,903 |
Port Reitz | 14,980 |
Tudor Estate | 7,166 |
Tudor Four | 9,228 |
Jumla | 87,259 |
*Septemba 2005 [2].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Changamwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |