Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Alego Usonga ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hilo linapatikana katika Kaunti ya Siaya na ni mojawapo ya majimbo sita ya uchaguzi katika kaunti hiyo. Linashirikisha wodi 13 za udiwani, tano kati yao zikiwachagua madiwani kwa munisipali ya Siaya na zingine saba kwa baraza la mashinani la Siaya County.
Jimbo hili lilianza wakati wa uchaguzi mkuu wa 1963, likiitwa Jimbo la Alego-Usonga.
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Luke Rarieya Obok | KANU | |
1966 | Luke Rarieya Obok | KPU | |
1969 | Peter Okudo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Peter Oloo-Aringo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Peter Oloo-Aringo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Peter Oloo-Aringo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Peter Oloo-Aringo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Otieno Mak’Onyango | Ford-K | |
1997 | Peter Oloo-Aringo | NDP | |
2002 | Samuel Arthur Weya | NARC | |
2007 | Edwin Ochieng Yinda | ODM |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura waliojisajili |
Serikali ya Mtaa |
---|---|---|
Boro East | 4,145 | Siaya county |
Boro West | 4,163 | Siaya county |
East Alego | 10,042 | Siaya county |
Mjini | 6,348 | Munisipali ya Siaya |
North Alego | 4,918 | Siaya county |
Siaya Central | 2,032 | Munisipali ya Siaya |
Siaya East | 2,701 | Munisipali ya Siaya |
Siaya North | 2,974 | Munisipali ya Siaya |
Siaya West | 3,740 | Munisipali ya Siaya |
South Alego | 8,213 | Siaya county |
South West Alego | 6,338 | Siaya county |
Usonga | 4,881 | Siaya county |
West Alego | 5,808 | Siaya county |
JUmla | 66,303 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Alego Usonga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |