Daniel Nicodemus Nsanzugwako (amezaliwa tar. 15 Agosti 1956) ni mbunge wa jimbo la Kasulu Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Daniel Nicodemus Nsanzugwako". 13 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.