Damas Pascal Nakei (amezaliwa tar. 19 Februari 1959) ni mbunge wa jimbo la Babati Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.