Daimu Iddi Mpakate ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tunduru Kusini kwa miaka 20152020. [1][2]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. https://www.bunge.go.tz/index.php/primary_questions/409