Cosmas Masolwa Masolwa (amezaliwa tar. 20 Aprili 1962) ni mbunge wa jimbo la Bububu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

Marejeo

  1. Mengi kuhusu Cosmas Masolwa Masolwa (19 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.