Chrisant Majiyatanga Mzindakaya alikuwa kwa muda mrefu mbunge katika bunge la kitaifa nchini Tanzania[1] kwa kutokea katika chama cha CCM. Aliwahi pia kuwa mkuu wa mkoa na waziri. Alifariki mnamo Juni 7 2021.