Celina Ompeshi Kombani (19 Juni 1959 - 24 Septemba 2015) alikuwa mbunge wa jimbo la Ulanga Mashariki katika bunge la taifa nchini Tanzania,[1] akitokea katika chama cha CCM.
Pia alipata kuwa waziri.
Alifariki nchini India akiwa katika matibabu.