Cecilia Daniel Paresso (amezaliwa tarehe 22 Novemba 1981) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CHADEMA . Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017