Castor Raphael Ligallama (amezaliwa tar. 1 Machi 1949) ni mbunge wa jimbo la Kilombero katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.