Sehemu ya Mji wa Bukavu



Bukavu
Bukavu is located in Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bukavu
Bukavu

Mahali pa mji wa Bukavu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Majiranukta: 2°30′0″S 28°52′0″E / 2.50000°S 28.86667°E / -2.50000; 28.86667
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mkoa Kivu kusini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 806,940

Bukavu (zamani: Costermansville, Costermansstad) ni mji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo uliopo upande wa kusini magharibi mwa pwani ya Ziwa Kivu na mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini.

Mji una wakazi 806,940.

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Bukavu
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bukavu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.