Kata ya Buguruni | |
Mahali pa Buguruni katika Tanzania |
|
Majiranukta: 6°49′26″S 39°14′56″E / 6.82389°S 39.24889°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Dar es Salaam |
Wilaya | Ilala |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 47,278 |
Buguruni ni kata ya wilaya ya Ilala katika [[mkoa]wa Dar es Salaam]], Tanzania, yenye postikodi namba 12102.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 47,278 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 67,028 waishio humo.[2]
Buguruni ni kata yenye maendeleo. Baadhi ya maendeleo yaliyomo ndani ya kata ya Buguruni ni:
• Soko la Buguruni
• Hospitali ya Buguruni
• Kituo cha Polisi cha Buguruni
• Njia za usafiri
Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania | ||
---|---|---|
Bonyokwa | Buguruni | Buyuni | Chanika | Gerezani | Gongolamboto | Ilala | Jangwani | Kariakoo | Kimanga | Kinyerezi | Kipawa | Kipunguni | Kisukuru | Kisutu | Kitunda | Kivukoni | Kivule | Kiwalani | Liwiti | Majohe | Mchafukoge | Mchikichini | Minazi Mirefu | Mnyamani | Msongola | Mzinga | Pugu | Pugu Station | Segerea | Tabata | Ukonga | Upanga Magharibi | Upanga Mashariki | Vingunguti | Zingiziwa |
Makala hii kuhusu maeneo ya Dar es Salaam bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Buguruni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |