Bernadeta Kasabago Mushashu (alizaliwa 18 Agosti 1953 [1]) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa Mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [2]
Ameandika kitabu kijulikanacho kama Girls and Secondary Schoool Physics in Tanzania. [3]