Benson Mwailugula Mpesya (amezaliwa tar. 15 Machi 1953) ni mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.