Balabala
|
Balabala kichwa-chekundu (Agama lionotus)
|
Uainishaji wa kisayansi
|
Himaya:
|
Animalia (Wanyama)
|
Faila:
|
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Nusufaila:
|
Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
|
Ngeli ya juu:
|
Tetrapoda (Wanyama wenye miguu minne)
|
Ngeli:
|
Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
|
Oda:
|
Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka)
|
Nusuoda:
|
Lacertilia (Mijusi)
|
Familia:
|
Agamidae (Mijusi walio na mnasaba na balabala)
|
Nusufamilia:
|
Agaminae (Mijusi wanaofanana na balabala)
|
|
Ngazi za chini
|
Jenasi 13:
- Acanthocercus Fitzinger, 1843
- Agama Daudin, 1802
- Brachysaura Blyth, 1856
- Bufoniceps Arnold, 1992
- Coryphophylax Fitzinger, 1867
- Laudakia Gray, 1845
- Mictopholis Smith, 1935
- Paralaudakia Baig, Wagner, Anajeva & Böhme, 2012
- Phrynocephalus Kaup, 1825
- Pseudotrapelus Fitzinger, 1843
- Stellagama Baig, Wagner, Ananjeva & Böhme, 2012
- Trapelus Cuvier, 1817
- Xenagama Boulenger, 1895
|
Balabala ni spishi za mijusi za nusufamilia Agaminae katika familia Agamidae. Mijusi hawa ni wadogo hadi wakubwa kiasi na wana miguu yenye nguvu na mkia mrefu. Katika spishi nyingi madume wana rangi kali, kama nyekundu, machungwa na buluu, lakini majike wote wana rangi ya majivu, ya mchanga au kahawia. Wanatofautinana na mijusi wengine, isipokuwa vinyonga, kwa sababu meno yao yapo kwa ukingo wa nje wa mdomo wao badala ya ukingo wa ndani.
- Acanthocercus annectans, Balabala-miambi wa Eritrea (Eritrean rock agama)
- Acanthocercus atricollis, Balabala-miti Kichwa-buluu (Blue-headed tree agama)
- Acanthocercus cyanogaster, Balabala-miti Shingo-nyeusi (Black-necked tree agama)
- Agama aculeata, Balabala Kusi (Ground agama)
- Agama armata, Balabala Miiba (Peter's ground agama)
- Agama caudospinosa, Balabala wa Elmenteita (Elmenteita rock agama)
- Agama finchi, Balabala wa Malaba (Finch's agama)
- Agama hulbertorum, Balabala wa Ngong (Ngong agama)
- Agama kaimosae, Balabala wa Kakamega (Kakamega agama)
- Agama lionotus, Balabala Kichwa-chekundu (Red-headed agama)
- Agama montana, Balabala-milima (Montane rock agama)
- Agama mossambica, Balabala wa Msumbiji (Mozambique agama)
- Agama mwanzae, Balabala wa Mwanza (Mwanza flat-headed agama)
- Agama persimilis, Balabala Mabaka (Somali painted agama)
- Agama rueppelli, Balabala wa Rüppell (Rüppell's agama)
- Agama turuensis, Balabala Mashariki (East African ground agama)
|
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Balabala (mjusi) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|