Hamisi Shaban Taletale, pia anajulikana kama Babu Tale ( 31 Desemba 1982), ni meneja wa vipaji na mwanasiasa kutoka Tanzania kwa sasa anahudumu kama mbunge wa chama cha mapinduzi katika eneo bunge la Morogoro kusini tangu Novemba 2020.[1][2] Ni mwanzilishi mwenza wa lebo ya muziki ya WCB Wasafi.