Avignon | |
Mahali pa mji wa Avignon katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 43°57′0″N 4°49′01″E / 43.95000°N 4.81694°E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Provence-Alpes-Côte d'Azur |
Wilaya | Vaucluse |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 92,454 |
Tovuti: www.avignon.fr |
Avignon ni mji wa Ufaransa kusini.
Katika historia unakumbukwa hasa kwa sababu katika miaka 1309-1377 Mapapa saba walikuwa na makao yao huko badala ya kuishi mjini Roma.
Katika miaka 1348-1791 Papa alikuwa ndiye mtawala wa mji huo.
Kwa sababu hizo, mwaka 1995 kiini cha mji huo kimetangazwa mahali pa Urithi wa Dunia.
Avignon travel guide kutoka Wikisafiri
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Avignon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |