Augustine Vuma Holle (amezaliwa 08 Agosti 1990) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kasulu vijijini kwa miaka 20152025. [1]

Alisoma shule ya Bagamoyo secondary kuanzia mwaka 2006 - 2009 o-level.

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017