Antony Peter Mavunde ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Dodoma mjini kwa miaka 2015 – 2020. [1][2]