Anthony Calist Komu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Moshi Vijijini kwa miaka 2015 – 2020. [1]