Anne Malecela

Anne Kilango Malecela (amezaliwa tarehe 9 Januari 1956) ni mbunge wa jimbo la Same Mashariki katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. ["Mengi kuhusu Anne Kilango Malecela". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 2010-11-13. Mengi kuhusu Anne Kilango Malecela]

Viungo vya nnje

[hariri | hariri chanzo]