Anna Richard Lupembe (amezaliwa tarehe 26 Aprili 1966) ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. ["Mengi kuhusu Anna Richard Lupembe". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 2011-11-03. Mengi kuhusu Anna Richard Lupembe]

Viungo vya nnje

[hariri | hariri chanzo]