Aloyce Bent Kimaro (amezaliwa tar. 24 Juni 1953) ni mbunge wa jimbo la Vunjo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.