Picha ya Ally Salim
Picha ya Ally Salim

Ally Salim ni mlinda mlango wa Simba Sports Club (Simba SC) nchini Tanzania. Amezaliwa tarehe 19 Aprili mwaka 2000 na urefu wake ni sentimita 180.

Tanbihi

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ally Salim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.