Ally Mohamed Keissy (amezaliwa 15 Oktoba 1949) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Nkasi Kaskazini kwa miaka 2015 – 2020. [1]