Ali Khamis Seif (amezaliwa 8 Aprili, 1954) ni mbunge wa jimbo la Mkoani katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Ali Khamis Seif". 25 Aprili 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.