Albert Ntabaliba Obama ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Buhigwe kwa miaka 2015 – 2020. [1], mwaka 2010-2012 alikuwa mwanachama wa kamati ya huduma za jamii za bunge. [2]