Ahaggar (pia Uhaggar, Hoggar) ni safu ya milima ya Aljeria (Afrika).
Urefu wake unafikia hadi mita 2,908 juu ya usawa wa bahari.