Adadi Mohamed Rajabu (amezaliwa 20 Januari 1955) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Muheza kwa miaka 2015 – 2020. [1] [2]
Ni Mwenyekiti wa Kamati ya mambo ya ndani, ulinzi na usalama wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.