Abdallah Haji Ali (amezaliwa 1 Januari 1964) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Civic United Front (CUF), pia ni mwalimu kitaaluma huko visiwani Zanzibar [1] Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kiwani kwa miaka 2015 – 2020. [2]