Abdallah Ally Mtolea (amezaliwa 3 Juni 1976 [1]) ni mwanasiasa Mtanzania. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Temeke kwa miaka 2015 – 2020 akiwa mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. [2] [3]
Tarehe 15 Novemba 2018 amejiuzulu nafasi yake ya Ubunge pamoja na nafasi zote za uongozi katika chama cha CUF.