Abbas Zuberi Mtemvu (alizaliwa 1 Novemba 1959) ni mbunge wa jimbo la Temeke (Mkoa wa Dar es Salaam) katika bunge la taifa la Tanzania tangu mwaka 2005.[1] Anatokea katika Chama cha Mapinduzi (CCM).
Abbas Zuberi Mtemvu ni mmoja wa wanasiasa tajiri na anayetajwa kama maarufu. Kulingana na utafiti wa Forbes juu ya biashara zake, thamani ya mali zake ni takribani Dola za Marekani milioni 1.5.