ARIA Charts

ARIA Charts ni chati ya rekodi ya mauzo ya muziki wa Kiaustralia, hutolewa kila wiki na Australian Recording Industry Association. Chati hizo huchukua rekodi ya mauzo ya juu ya single na albamu za aina mbalimbali za muziki nchini Australia.

ARIA ilianzisha chati zake yenyewe mwishoni mwa wiki ya mwisho ya 26 Juni 1988. Kabla ya hii, katikati ya 1983, ARIA ilipata hatimiliki ya kutoa ripoti ya chati ya 'Kent Music Report' (ambayo baadaye ilibadilishwa jina na kuitwa 'Australian Music Report', hadi hapo iliposimamisha shughuli zake za uchapishaji mnamo mwaka wa 1999).

Orodha za kila wiki si rasmi, pia zimetoka vyanzo mbalimbali. Kwa hiyo kuna makosa fulani pamoja na nyimbo ambazo zimetajwa kama namba moja ambazo hazipatani.

Chati za ARIA ni pamoja na:

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu ARIA Charts kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.