Wikipedia ya Kiingereza
Logo of the English Wikipedia
The Main Page of the English Wikipedia on 31 Januari 2009

Wikipedia ya Kiingereza ni toleo la kamusi elezo la lugha ya Kiingereza la Wikipedia na ndilo toleo lililo kubwa kuliko yote. Ilianzishwa tarehe 15 Januari 2001, na ndiyo toleo la kwanza la Wikipedia kutolewa. Ilivyofika mwezi Agosti ya mwaka wa 2008, Wikipedia ya Kiingereza ilifikisha makala milioni 2.5. Kwa sasa ni zaidi ya milioni 6.

Tazama pia

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikipedia ya Kiingereza
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiingereza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.