Utafiti uliofanywa kwa muda mrefu na kwa njia mbalimbali umekadiria kwamba mababu wa wakazi asilia wa Amerika walioenea hadi Amerika Kusini wakitokea Asia kaskazini mashariki miaka 14500 KK.
Inadhaniwa kwamba hao mababu waliishi muda mrefu na kuzaliana bila mawasiliano na binadamu wengine, labda katika eneo ambalo leo limefunikwa na maji kwenye mlangobahari wa Bering. Inakadiriwa DNA yao ilitokana na ile ya Waasia mashariki (2/3) na Waeurasia (1/3).
Baada ya kuingia na kusambaa katika bara hilo, lugha na utamaduni vilizidi kutofautiana. Waeskimo walijitofautisha na Waaleuti miaka 4,000 iliyopita. Kutoka Alaska magharibi walienea mashariki kuanzia miaka 1,000 iliyopita.
Leenaars, Antoon A.; Wenckstern, Susanne; Sakinofsky, Isaac n.k., wahariri (1998). Suicide in Canada. University of Toronto Press. ISBN978-0-8020-7791-2.
Ohokak, Gwen; Kadlun, Margo; Harnum, Betty. Inuinnaqtun to English Dictionary. Kitikmeot Heritage Society. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-04.Unknown parameter |url-status= ignored (help)
Sturtevant, William C., mhariri (1984). Handbook of North American Indians. 5 (Arctic). Smithsonian Institution. ISBN978-0-16-004580-6.
Marejeo mengine
Further information: Bibliography of Canadian Aboriginals
Forman, Werner; Burch, Ernest S. (1988). The Eskimos. University of Oklahoma Press. ISBN978-0-8061-2126-0.Unknown parameter |url-access= ignored (help)
Poncins, Gontran De; Galantiere, Lewis (1996) [1941]. Kabloona: Among the Inuit. Graywolf Press. ISBN978-1-55597-249-3.
Sowa, Frank (2014). "Inuit". Katika Andrew J. Hund. Antarctica and the Arctic Circle: A Geographic Encyclopedia of the Earth's Polar Regions. 1: A–I. ABC-CLIO. ku. 390–395. ISBN978-1-61069-393-6.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waeskimo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.