Sodoma ulikuwa mji wa Bonde la Ufa kati ya Palestina na Yordani za leo.
Ni maarufu kutokana na jinsi ulivyoangamia kadiri ya Biblia na Kurani ambazo zinamzungumzia sana kama kielelezo cha dhambi, hasa ya ushoga.
Hata hivyo Yesu alisema miji isiyotubu kwa mahubiri na ishara zake itapatwa na adhabu kubwa zaidi.
![]() |
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|