Mlima Piz Palu

Piz Palu ni mlima wa Alpi kati ya nchi za Italia na Uswisi (Ulaya).

Urefu wake ni mita 3,905 juu ya usawa wa bahari.

Panorama

[hariri | hariri chanzo]
360°Panorama

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]