Pico Simon Bolivar ni mlima wa Andes katika nchi ya Kolombia (Amerika Kusini).
Urefu wake ni mita 5,775 juu ya usawa wa bahari.