Mt. Paulina.

Paulina Visintainer (Vigolo Vattaro[1], leo nchini Italia, 16 Desemba 1865 - Ipiranga, Brazil, 8 Julai 1942) alikuwa bikira wa Italia kaskazini ambaye alihamia Brazil katika ujana wake akaanzisha huko shirika la Masista Wadogo wa Kukingiwa Dhambi ya Asili kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa na maskini.

Baada ya matatizo mengi, alitumikia shirika hilo kwa unyenyekevu mkubwa na sala ya kudumu[2]

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 18 Oktoba 1991, halafu mtakatifu tarehe 19 Mei 2002.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Julai[3][4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Paulina do Coração Agonizante de Jesus". Vatican News Service.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/90251
  3. Martyrologium Romanum
  4. ""St. Pauline of the Agonizing Heart of Jesus", Saints Resource, RCL Benziger". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-07. Iliwekwa mnamo 2020-07-08.

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.