Orson Welles | |
---|---|
Orson Welles in 1937, photographed by Carl Van Vechten. | |
Amezaliwa | George Orson Welles Mei 6, 1915 Kenosha, Wisconsin, US |
Amekufa | 10 Oktoba 1985 (umri 70) Los Angeles, California, US |
Kazi yake | Mwigizaji, Mwongozaji, Mwandishi, Mtayarishaji, Mwigizaji wa sauti |
Miaka ya kazi | 1934–1985 |
Ndoa | Virginia Nicholson (1934-1940) Rita Hayworth (1943-1948) Paola Mori (1955-1985) |
George Orson Welles (6 Mei 1915 - 10 Oktoba 1985), anafahamika kama Orson Welles, alikuwa mwongozaji wa filamu wa Marekani, mwandishi, mwigizaji na mtayarishaji, ambaye alifanya kazi sana katika filamu, maonyesho, televisheni na redio. Welles alikuwa pia ni mchawi aliyetimia, nyota katika vikosi mbalimbali vya usalama katika miaka ya vita.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Orson Welles kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |