Origen.

Origen, kwa Kigiriki Ὠριγένης Ōrigénēs, (185 - 253), mwana wa mfiadini Leonidas wa Aleksandria, alikuwa padri kutoka Aleksandria (Misri) aliyehamia Kaisarea (Palestina) na kuendeleza kazi yake kama mtaalamu maarufu wa Biblia.[1][2][3][4][5].

Sala yake

Yesu, miguu yangu ni michafu. Njoo kama mtumwa kwangu, mimina maji katika beseni lako, njoo unitawadhe miguu. Ninapoomba hivyo najua kuwa nathubutu mno, lakini naogopa tishio lililotolewa uliponiambia, “Nisipokutawadha miguu, huna ushirika nami”. Basi, osha miguu yangu, kwa kuwa naonea shauku urafiki wako.

Tazama pia

Vyanzo

Tanbihi

  1. The New Catholic Encyclopedia (Detroit: Gale, 2003). ISBN 978-0-7876-4004-0
  2. Hans Urs von Balthasar, Origen of Alexandria: Spirit and Fire: A Thematic Anthology of His Writings
  3. Papa Benedikto XVI alitoa hotuba mbili juu yake.
  4. Benedict XVI, General Audience, St Peter's Square, Wednesday 25 Aprili 2007, Origen of Alexandria: life and work.[1]
  5. https://dacb.org/stories/egypt/origen/

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.