Nusufamilia (kwa Kilatini: subfamilia, wingi subfamiliae) katika uainishaji wa kisayansi ni ngazi ya kati chini ya familia lakini juu ya jenasi. Majina sanifu ya kundi hilo yanaishia "-oideae" katika mimea,[1] na "-inae" katika wanyama.[2]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nusufamilia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |